Friday, November 27, 2020

KADI YA CHIRWA YAMTIA MATATANI MWAMUZI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA,

MWAMUZI Ahmed Simba kutoka Kagera aliyechezesha mechi ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting, anatarajiwa kupelekwa kwenye Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya saa 72) itakayokaa Jumamosi hii.

Hatua ya kupelekwa kwenye kamati hiyo inakuja baada ya Yanga kumkatia rufaa mwamuzi huyo na kupinga kadi mbili za njano alizoonyeshwa mchezaji wao Obrey Chirwa.

Akizungumza na BINGWA, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas, alisema Yanga imekata rufaa ikiomba kufutwa kwa kadi mbili za njano alizoonyeshwa mshambuliaji huyo.

“Tayari Yanga wamewasilisha rufaa kuitaka kamati kufuta kadi mbili za njano alizoonyeshwa Chirwa kwa sababu hazikuwa sahihi,” alisema.

Alisema baada ya kupokea rufaa, kamati hiyo itakaa chini na kuisikiliza rufaa hiyo Jumamosi hii kwenye ofisi za shirikisho hilo zilizopo eneo la Karume jijini Dar es Salaam.

Pamoja na mwamuzi huyo kulalamikiwa kumwonyesha Chirwa kadi mbili za njano, pia analalamikiwa kwa uamuzi wake wa kukataa bao la mshambuliaji huyo, akidai alifunga baada ya kuunawa mpira huo na kumwonyesha kadi ya kwanza ya njano, kabla ya kumtoa kwa kadi ya njano ya pili baada ya kucheza faulo na kuudunda mpira kwa hasira.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -