Sunday, January 17, 2021

KAGERA KUWEKA KAMBI NCHINI BURUNDI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

mtibwa

NA JESSCA NANGAWE

KIKOSI cha timu ya soka ya Kagera Sugar kinatarajia kuweka kambi nchini Burundi kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaoanza Agosti 26, mwaka huu.

Kagera, ambayo ilianza maandalizi yake kwa kuweka kambi ya wiki mbili jijini Dar es Salaam, kwa sasa ipo mkoani Kagera, ikiendelea na mazoezi kabla ya kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Singida United na Yanga.

Kocha mkuu wa timu hiyo, Mecky Mexime, amesema baada ya mechi hizo watajiandaa na safari ya kwenda Burundi, ambako watakaa wiki moja na kucheza mechi za kirafiki kabla ya kurejea.

“Naamini michezo ya kirafiki itatuweka kwenye taswira mpya ya mwonekano wa kikosi chetu, msimu ujao utakuwa tofauti na tutafanya vyema,” alisema.

Mexime, ambaye aliiwezesha Kagera kumaliza Ligi Kuu msimu uliopita ikiwa nafasi ya tatu, ameahidi kuendeleza makali yake msimu ujao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -