Thursday, December 3, 2020

Kagera Sugar kumaliza hasira kwa African Lyon

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA SALMA MPELI

BAADA ya kupoteza mechi yao iliyopita dhidi ya Mtibwa Sugar kwa kupigwa mabao 2-0, kikosi cha Kagera Sugar kimepania kumaliza hasira zao kwa African Lyon kwenye mchezo utakaopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, nahodha wa timu hiyo, George Kavila, alisema kwa sasa timu imeweka kambi Dar es Salaam na inafanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa Bora, Kijitonyama, kujiandaa na mchezo huo.

Alisema timu hiyo inafanya mazoezi ya nguvu kwa ajili ya mchezo huo na wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na pointi tatu muhimu kufidia walizopoteza kwenye mechi yao dhidi ya Mtibwa.

“Timu tayari ipo Dar kujiandaa na mechi yetu na African Lyon na tunajiandaa kuhakikisha tunaibuka na ushindi ili kujiongezea pointi tatu muhimu ukizingatia tumepoteza mechi yetu iliyopita dhidi ya Mtibwa,” alisema.

Kagera ambao wanashika nafasi ya tisa wana pointi sita ikiwa imecheza mechi tano, msimu uliopita iliponea chupuchupu kushuka daraja kutokana na matokeo mabaya yaliyokuwa yanaikabili timu hiyo.

Kutokana na hali hiyo, uongozi ukaamua kuboresha benchi lake la ufundi kwa kumchukua kocha wa zamani wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime, anayesaidiana na Ally Jangalu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -