Tuesday, December 1, 2020

KAGERA SUGAR WAMSHTAKI BANDA TFF

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA SAADA SALIM,

UONGOZI wa klabu ya Kagera Sugar  umeiandikia barua Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa 72) ukilalamikia kitendo cha beki wa Simba, Abdi Banda, kumpiga mchezaji wao Goorge Kavila wakati wa mechi baina ya timu hizo uliofanyika juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Kaitaba, Kagera.

Katika mchezo huo ambao Kagera Sugar iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, Banda anadaiwa kumpiga ngumi Kavila wakati mchezo ukiendelea lakini katika hali ya kushangaza hakuweza kuadhibiwa.

Akizungumza na BINGWA jana, Mratibu wa Kagera Sugar, Mohamed Hussein, alisema uongozi wa klabu hiyo umekasirishwa na kitendo kilichofanywa na beki huyo, hivyo umeiandikia barua Kamati ya Saa 72 ikitaka achukuliwe hatua.

“Soka ni burudani na si ugomvi kama uongozi tumeandikia barua  kwa Kamati ya Saa 72 ili ichukue hatua za kinidhamu dhidi ya mchezaji Abdi Banda ambaye alimpiga ngumi mchezaji wetu George Kavila.

“Hatuwezi kufumbia macho  suala hili kwani mshika kibendera namba mmoja alimwita mwamuzi, lakini hakuchukuwa hatua yoyote kwa mchezaji,” alisema.

Mohammed alisema anaamini kamati hiyo itachukua hatua stahiki kwakua hilo si tukio la kwanza kufanywa na mchezaji huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -