Friday, October 30, 2020

Kagere fiti kuivaa Azam kesho

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ASHA KIGUNDULA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda Middie Kagere, yupo vizuri kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kesho dhidi ya Azam FC, utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, amesema kuwa Kagere alipumzishwa kwa ajili ya mchezo wao wa kesho ambao ni muhimu kwao kupata pointi tatu.

Alisema kutocheza kwake dhidi ya KMC, si kwa sababu ya matatizo bali ni kutokana na kukabiliwa na kibarua kizito dhidi ya Azam, ambao nao wanausaka ubingwa wa ligi hiyo.

Rweyemamu alisema katika mazoezi yaliyofanyika jana asubuhi, chini ya kocha Sven Vandenbroeck, Kagere alikuwa miongoni mwa wachezaji waliojifua mwanzo mpaka mwisho.

Alisema kuwa kwa sasa kikosi chao hakina majeruhi wengi zaidi ya Miraji Athuman ambaye bado hayupo vizuri kwa ajili ya mchezo huo.

“Kagere yupo fiti na amefanya mazoezi na wenzake kama kawaida, makocha waliamua apumzike asubiri mchezo wa keshokutwa (kesho) dhidi ya Azam na inayofuata si kama alikuwa na matatizo,” alisema Rweyemamu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -