Friday, October 23, 2020

KAGERE: NITAFUNGA MABAO MENGI TPL

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA TIMA SIKILO

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere ‘MK 14’, amesema hawezi kuweka wazi ni idadi ipi ya mabao anayohitaji kukifungia kikosi chake katika msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ila anakiri kwamba malengo yake ni kufunga mabao mengi katika kila nafasi anayoipata.

Kagere anashika nafasi ya tatu katika orodha ya wafungaji bora wa ligi hiyo akiwa na mabao manne.

Akizungumza na BINGWA jana, Kagere alisema kwamba mara nyingi huwa anasema anahitaji kuchukua kiatu cha mfungaji bora au mchezaji bora.

Alisema wachezaji wengi hupenda kusema mapema kila kitu walichojipangia, lakini yeye ni tofauti kwani anataka watu waone waseme na si yeye kuwaambia.

“Siwezi kuweka wazi ni idadi ipi ya mabao nahitaji lakini nahitaji kufunga mabao mengi sana halafu kama ni kiatu cha mfungaji bora, kitanifuata chenyewe, kuwepo kwangu nyuma katika wafungaji wa ligi hainisumbui matokeo yanabadilika muda wowote,” alisema.

Kagere aliongeza kuwa yeye ni mchezaji ambaye hana mpinzani katika uchezaji wake, anamwamini Mungu katika kila hatua ambayo anaipitia kikubwa anaiombea timu yake iweze kupata ubingwa hicho ndicho kitu muhimu zaidi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -