Sunday, October 25, 2020

Kajala akubali kuitwa bibi

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA KYALAA SEHEYE

STAA wa filamu nchini, Kajala Masanja, amesema haoni hatari kuitwa bibi maana hiyo nayo ni sehemu ya maisha hana budi kuikubali pindi wakati ukifika.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Kajala alisema watu wamekuwa wakimtania kuwa ubibi unaingia kwa kuwa mwanawe Paula anakuwa kwa kasi, hivyo apunguze usichana.

“Nitakuwa bibi bomba jamani na nitajivunia hilo ilimradi tu awe (Paula) amefika umri na si sasa ambapo ni mwanafunzi, nahitaji asome tena kwa bidii sana na wakati ukifika basi sina budi kukubali,” alisema Kajala.

Aidha, Kajala aliongeza kuwa kheri yeye ambaye anafikiria kuitwa bibi kuliko ambao hawajui watakuwa lini, kwani kuitwa bibi ni heshima kubwa hasa wakati ukifika.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -