Sunday, October 25, 2020

Kakolanya aomba namba ya kudumu Yanga

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA ZAINAB IDDY

KIPA namba tatu wa kikosi cha Yanga, Beno Kakolanya, ameliomba benchi la ufundi la timu hiyo kuendelea kumuamini kwa kumpa namba katika kikosi cha kwanza, ili aweze kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa msimu huu.

Kakolanya, ambaye amejiunga na Yanga msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Tanzania Prisons, katika michezo 15 waliyoshuka dimbani Wanajangwani hao ameweza kuidakia mechi mbili pekee.

Kakolanya alianza kukaa langoni katika mchezo wa Yanga dhidi ya Prisons, uliofanyika Mbeya, juzi kipa huyo pia alipangwa wakati Yanga ilipocheza na JKT Ruvu na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Baada ya mchezo huo, benchi la ufundi la Yanga chini ya kocha Hans van Pluijm, liliweza kumpa nafasi pia katika mechi yao ya kukamilisha mzunguko wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting, ambapo mabingwa watetezi waliweza kutoka kifua mbele kwa ushindi wa 2-1.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -