Tuesday, November 24, 2020

Kali Ongala apewa mwaka mmoja Majimaji

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

SALMA MPELI NA DANIELLER KITIMBO (TUDARCO)

UONGOZI wa klabu ya Majimaji umempa mkataba wa mwaka mmoja aliyekuwa kocha wao wa msimu uliopita, Kalimangonga Ongala, kwa ajili ya kuendelea kuinoa timu hiyo Ligi Kuu Tanzania Bara.

Awali, Ongala alikuwa akiinoa timu hiyo na kufanikiwa kuibakisha kwenye Ligi Kuu ambapo msimu huu ulipoanza  aligoma kuendelea nayo kutokana na ukata lakini sasa ameamua kurejea.

Umuhimu wa Kali umeonekana wazi kwani katika michezo sita ambayo wamekwisha kucheza mpaka sasa hawajapata matokeo mazuri kwani wamefungwa yote wakiburuza mkia kwenye msimamo wa ligi.

Akizungumza na BINGWA jana mwenyekiti wa timu hiyo, Humphrey Milanzi, alisema tayari wamemalizana na Ongala hivyo ameanza kazi rasmi.

“Tumempa mkataba wa mwaka mmoja Jumatatu na leo (jana) aliwasili Songea mchana kwa ndege akitokea Dar es Salaam na kuungana na timu moja kwa moja kuendelea na maandalizi ya mchezo ujao,” alisema.

Alisema kwa sasa wanaendelea kujiwinda na mchezo wao dhidi ya Stand United unaotarajia kuchezwa Jumapili kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Majimaji.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -