Sunday, November 29, 2020

Kally Ongala mambo freshi Majimaji

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA GEORGE KAYALA

KOCHA Kally Ongala, amekubali kurejea kuifundisha timu ya Majimaji ya Songea inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kocha huyo aliikacha timu hiyo aliyoifundisha mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita baada ya kukumbwa na ukata, hivyo kuhofia mustakabali wa mshahara wake.

Ongala alisema tayari ameshafanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo na kuwapa masharti kuhusiana na malipo ya stahiki zake.

“Niko tayari kurudi kufundisha timu hiyo kwani ina wachezaji wazuri, viongozi nimewaambia wanipe mshahara mzuri, pia wachezaji wawatimizie mahitaji yao ili iwe kazi rahisi, kinyume na hapo itakuwa vigumu kurejea maana utakuwa mzigo kwangu,” alisema kocha huyo msaidizi wa zamani wa Azam FC.

Ongala aliinusuru Majimaji msimu uliopita kuepuka kushuka daraja, badala yake janga hilo lilizikumba timu za Coastal Union, African Sports na Mgambo Shooting.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -