Friday, October 23, 2020

Kama ulimponda Cavani pole

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

 

LONDON, England

STRAIKA Edinson Cavani ameonesha kuwa anaweza kuziba pengo la Zlatan Ibrahimovic pale PSG, baada ya kuendeleza moto wake wa kuwatungua walinda mlango.

Katika mchezo wa juzi dhidi ya Bourdeaux, Cavani alipasia nyavu mara mbili na kuiwezesha PSG kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mpaka sasa, fowadi huyo wa Uruguay ameshapachika mabao 11 katika michezo tisa ya mashindano mbalimbali msimu huu.

Ni wazi Cavani amewanyamazisha waliomponda mwanzoni mwa msimu, ambapo walibezwa kuwa hawawezi kuvaa viatu vya Ibrahimovic, aliyetimkia Old Trafford.i ameonesha kuwa anaweza kuziba pengo la Zlatan Ibrahimovic pale PSG, baada ya kuendeleza moto wake wa kuwatungua walinda mlango.

Katika mchezo wa juzi dhidi ya Bourdeaux, Cavani alipasia nyavu mara mbili na kuiwezesha PSG kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mpaka sasa, fowadi huyo wa Uruguay ameshapachika mabao 11 katika michezo tisa ya mashindano mbalimbali msimu huu.

Ni wazi Cavani amewanyamazisha waliomponda mwanzoni mwa msimu, ambapo walibezwa kuwa hawawezi kuvaa viatu vya Ibrahimovic, aliyetimkia Old Trafford.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -