Wednesday, October 28, 2020

KANYE WEST AKANA KUKACHA SWALI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

 

NEW YORK, MAREKANI

RAPA mahiri, Kanye West, ameamua kueleza kinachodaiwa alishindwa kujibu  swali aliloulizwa na mtangazaji wa kituo cha televisheni, Jimmy Kimmel, kuhusu kama anamuunga mkono Rais wa Marekani, Donald Trump.

Katika kipindi hicho ambacho kilirushwa mwishoni mwa wiki, mtangazaji huyo alisikika akimshutumu kiongozi huyo  kwa sera zake husa ya kuwabagua wahamiaji waliopo katika mpaka baina ya nchi hiyo na Mexico.

Hata hivyo, alipomrushia swali, Kanye alionekana kama kusita na baadaye Kimmel akadai kuwa yalikuwa ni mapumziko kupisha tangazo la biashara, jambo ambalo limemlazimu staa huyo kulitolea ufafanuzi.

“Mimi na Jimmy Kimmel, tulikuwa na wakati mzuri wa kuwa na mazungumzo mara kwa mara. Napinga kwamba nilishindwa kujibu swali. Hebu nielezee jinsi hali ilivyokuwa,” nyota huyo aliandika katika ukurasa wake wa Twitter.

“Sikushindwa kujibu swali, bali sikupewa muda wa kujibu swali, hili lilikuwa linahitaji utulivu na kisha ndio ulijibu,” aliongeza staa huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -