Tuesday, November 24, 2020

KAPOMBE, AGREY WATWISHWA MZIGO AZAM

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

ZAINAB IDDY NA SALMA MPELI

BENCHI la ufundi la Azam FC limewapa majukumu mazito walinzi wake Shomari Kapombe, Agrey Moris na Bruce Kangwe, kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Mbabane ya Swazland.

Azam imeondoka jana kuwafuata wapinzani wao Mbabane watakaocheza nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Somhlolo, mjini Mbabane, Swazland.

Akizungumza na BINGWA, kocha msaidizi wa timu hiyo, Idd Cheche, alisema majukumu waliyotoa kwa mabeki hao ni kuhakikisha wanawachunga washambuliaji wa Mbabane akiongozwa na Sabelo Ndliinisa.

Alisema mbali na Ndiliinisha mabeki hao wanapaswa kuwa makini na nyota wengine wa Mbabane kama Kabamba Tshishimbi na Nsabulo Ndlovu ambao kwenye mchezo wa awali uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamanzi waliweza kuonyesha kiwango cha hali ya juu.

“Nyota hawa walitusumbua sana hivyo mabeki wetu wanapaswa kuwa makini sana ili kulilinda bao letu ama kuongeza na kusonga mbele,”alisema.

Azam FC kwenye mchezo huo wa marudiano inahitaji sare ya aina yoyote ile  au ushindi ili iweze kusonga mbele kwenye michuano hiyo.

Iwapo itafanikiwa kuiondoa Mbabane katika mchezo wa marudiano, Azam watakutana na moja kati ya timu 16 zitakazokuwa zimetoka kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -