Wednesday, October 28, 2020

KARDASHIAN AKANUSHA KUTENGANA NA KANYE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LOS ANGELES, Marekani


KUMEIBUKA tetesi kwamba Kim Kardashian ana mpango wa kuachana na mumewe, Kanye West, ila alikuwa anasubiri afya yake itengemae, lakini mrembo huyo amekanusha taarifa hizo akitumia akaunti yake ya mtandao wa Twitter.

Mtangazaji huyo wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim, aliweka wazi kwenye akaunti yake hiyo ya Twitter kwamba tetesi hizo si za kweli.

“Kila mmoja asiwe na shaka. Kim na Kanye hatuna mpango wa kuachana,” ilisomeka akaunti hiyo ya Twitter ya Kardashian.

Mtu mwingine wa karibu na familia hiyo, aliuambia mtandao wa People kwamba: “Taarifa hizo ni za uongo kabisa”.

“Kim hana mpango wowote wa kuachana na Kanye. Ameniambia huo ni uongo. Anataka Kanye apone baada ya kutoka hospitali alipokuwa amelazwa. Hataachana naye. Anampenda sana mumewe.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -