Wednesday, October 28, 2020

Kaseba awachana mapromota

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MARTIN MAZUGWA

BINGWA wa zamani wa mateke ‘kick boxer’, Japhet Kaseba, amesema mapromota wanachangia kuua mchezo huo.

Akizungumza na BINGWA juzi, Kaseba alisema mapromota wamekuwa wakiandaa mapambano ya kuwania mkanda ambayo hayajulikani kimataifa.

“Inauma sana kuona mtu umevuja jasho halafu unakuta mkanda hautambuliki na mashirika ya ngumi ya kimataifa,” alisema.

Alisema mapambano mengi yamekuwa yakiandaliwa kimazoea huku mapromota wakijineemesha wenyewe na mabondia wakilia ukata kila kukicha kutokana na hali ngumi za kiuchumi.

Kaseba alisema mabondia wanapaswa kujitambua ikiwezekana wapewe elimu ya kutosha kama hali itaendelea kuwa hivi, mabondia wataendelea kuishi maisha magumu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -