Friday, December 4, 2020

Kaseja: Hatukuwa dhaifu kwa Yanga

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

NAHODHA wa timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC),  amesema  hawakuwa dhaifu mbele ya Yanga, licha ya kuchapwa mabao 2-1, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini  Mwanza.

 Akizungumza na BINGWA jana, Kaseja alisema ligi bado ndefu na lolote linaweza kutokea, hivyo kutopata alama tatu dhidi ya Yanga, si sababu ya kukata tamaa kwao, kwani wana uwezo wa kufanya vizuri.

 “Ndio kwanza tumecheza mechi ya nane katika ligi na kukosa alama nne  katika michezo mitano haiwezi kutukatisha tamaa, kwani tuna nafasi ya kusahihisha makosa yetu na tukafanya vizuri kwenye mechi zinazokuja. “Yanga sio timu mbaya na wala KMC si dhaifu mbele ya Yanga, ulikuwa mchezo ngumu kwetu sote, tulipoteza tu umakini na si kosa la mchezaji mmoja mmoja kwa pamoja tutaipambania timu kwenye mechi zijazo,” alisema Kaseja

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -