Friday, December 4, 2020

Katwila ataka pointi tatu kwa Mbeya City

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA wa Ihefu, Zuberi Katwila, amesema wanahitaji kupata pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Novemba 2, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.

Katwila  ameingoza Ihefu katika michezo miwili ya ligi hiyo baada ya Maka Mwalwisi kutimuliwa na uongozi wa klabu hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wake.

Katika mchezo wake wa kwanza, Katwila alifungwa mabao 2-0 na Azam na baadaye  kutoka suluhu na  Namungo  kwenye  Uwanja wa Sokoine.

Akizungumza na BINGWA kwa simu kutoka Mbeya jana, Katwila alisema  anaamini baada ya kupata suluhu sasa ushindi ipo njiani.

“Nilipokabidhiwa majukumu mechi ya kwanza tulifungwa mabao mawili na Azam na tumepata sare ya bila kufungana na Namungo,  hii ni ishara nzuri kwangu na kwa timu pia.

“Mechi inayokuja tutakuwa hapa hapa Mbeya kucheza na Mbeya City, shaka watatupa pointi tatu tunazohitaji, licha ya kuwa unaweza kuwa mchezo mgumu kwa timu zote kutokana na kutoka mkoa mmoja.” alisema Katwila.

Ihefu  kwa sasa wanaburuza mkia katika msimamo wa ligi hiyo kutokana na pointi nne  huku Mbeya City wakiwa nafasi ya 17 kwa pointi tano.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -