Thursday, December 3, 2020

Kayala kuipeleka ‘Siwema’ Tabata Kisiwani

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MWANDISHI WETU,

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, George Kayala, Jumapili anatarajia kutumbuiza katika Kanisa la Africa Inland Church (AIC) lililopo  Tabata Kisiwani karibu na Uwanja wa Twiga jijini Dar es Salaam, akiwa na mtumishi wa Mungu, Paul Yunja.

Kayala, ameliambia Papaso la Burudani kuwa siku hiyo itakuwa ni fursa nzuri kwa mashabiki wake kununua DVD za albamu yake ya kwanza inayoitwa Siwema yenye jumla ya nyimbo saba zenye mvuto wa aina yake.

“Naupongeza uongozi wa kanisa la AIC Tabata Kisiwani kwa kunipa nafasi ya kuhudumu, naamini hii ni nafasi kwa waumini na washirika wote kununua DVD za albamu ya Siwema kwani najua hawatajuta kupoteza fedha zao kutokana na ujumbe wa Mungu uliopo ndani yake,” alisema Kayala.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -