Wednesday, November 25, 2020

KESI YA WEMA KUPIGWA CHINI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU,

HAKIMU MkaziMkuu, Thomas Simba,ametishia kuifuta kesi ya kukutwa na kete moja ya bhangi inayomkabili mwigizaji filamu, WemaSepetu (28) na wenzake wawili baada ya Jamhuri kudai mahakamani hapo kwamba upelelezi haujakamilika.

“Leo (Jana) kesi hii ilitakiwa kufutiliwa mbali, ‘unasemaje tukapige chini, kwa nini unasema tusikapige chini,” alisema Hakimu Simba akimwambia wakili wa Serikali.

Hakimuhuyoalitishiakuifutakesi hiyo akidaisababukuwaupelelezi wake haujakamilikakwa zaidi ya siku 60 na Jamhurihaijaombaiongezewemuda.

Hayoyalidaiwajanawakatikesi hiyo inayomkabiliWemanamfanyakazi wake wa ndaniilipotajwaMahakama ya HakimuMkaziKisutumbele ya HakimuMkaziMkuu, Thomas Simba.

Wakili wa Serikali, Constantine Kakula,akiiwakilishaJamhurialidaiupelelezihaujakamilikahivyoaliombakesi hiyo iahirishwe,hukuwakili wa utetezi, Peter Kibatala,akiombaupande wa mashtakawaharakishekukamilishaupelelezi.

Hatahivyo,hakimuhuyoalimwambiawakiliwaSerikaliawaambiewapeleleziwakamilisheupelelezi wa kesi hiyo mapema. Kesi hiyo iliahirishwahadi Mei 2,mwakahuu.

IlidaiwakwambaFebruari 4, mwakahuunyumbanikwaWema, KunduchiUnunio, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, washtakiwahaowalikutwa na msokotommoja na vipandeviwilivyabangi.

Hata hivyo,washtakiwa hao wote walikana mashtaka hayo na wapo nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya wadhamini wawili  walio saini bondi ya Sh.milioni tano kila mmoja.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -