Saturday, October 31, 2020

KESI YAMCHELEWESHA BUSUNGU MAZOEZI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA JESSCA NANGAWE

KESI inayomkabili mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu, imetajwa kuwa chanzo cha kumchelewesha katika mazoezi na kikosi chake kilichopo visiwani Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Mapinduzi.

Yanga imewasili visiwani Zanzibar ikiwa chini ya kocha mkuu George Lwandamina, leo inashuka dimbani kwa mara ya kwanza katika mashindano hayo tangu ilipowasili visiwani humo.

Straika huyo hakuwapo katika kikosi cha timu hiyo kutokana na kuwa ‘bize’ kufuatilia kesi iliyotokana na ajali ya barabarani aliyoipata wiki tatu zilizopita akiwa njiani akitokea Morogoro kwenda  Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA, Meneja wa Yanga, Hafidhi Saleh, alisema straika huyo wa zamani wa Mgambo Shooting ameshindwa kujiunga na wachezaji wenzake kutokana na kuhitajika katika kesi hiyo lakini mara baada ya kila kitu kuwa shwari.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -