Wednesday, November 25, 2020

KESSY AELEZA YANGA ‘ITAKAVYOPIGA’ WAARABU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI,

BEKI wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy, amewapa matumaini mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasikate tamaa na matokeo waliyoyapata kwani watapambana kwa uwezo wao kuhakikisha wanasonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Kessy ambaye  ni kati ya wachezaji wa kikosi hicho waliocheza kwa kiwango cha juu katika mchezo wa awali dhidi ya MC -Alger ya Algeria, Yanga ilipoibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA, Kessy alisema kama wachezaji watajitahidi kufuata maelekezo ya mwalimu, wataweza kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa marudiano.

Alisema walijitahidi kwa nguvu zote kupata ushindi mkubwa nyumbani lakini ilishindikana, hivyo wanajipanga kwa mchezo ujao wasirudie makosa ya Zanaco.

“Tumejifunza katika mechi iliyopita wapi tulikosea, hivyo hatutarudia kosa tutapambana, ninachowaomba mashabiki wa Yanga wasife moyo, tuko vizuri na tutakwenda kushinda kwao,” alisema Kessy.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -