Tuesday, November 24, 2020

KIATU CHA DHAHABU, TUZO YA PICHICHI VYANUKIA KWA MESSI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

BARCELONA, Hispania

MABAO mawili yaliyofungwa juzi na straika Lionel Messi dhidi ya Valencia  yamemfanya kufikisha 25 katika michuano ya Ligi Kuu ya Hispania, La Liga na hivyo kumuweka katika mazingira mazuri ya kutwaa tuzo mbili za  Pichichi na Kiatu cha Dhahabu cha mfungaji bora Ulaya.

Hatua hiyo inatokana na kwamba, kutokana na kuwa kila bao moja linahesabiwa kuwa mawili barani humo, kwa sasa staa huyo atakuwa amefikisha pointi 50 na hivyo kumuacha nyuma nyota wa  Borussia Dortmund, Pierre Emerick Aubameyang, ambaye ana 46.

Katika ligi yao ya nyumbani, mabao hayo yamemfanya kuongeza pengo dhidi ya wachezaji wenzake, Luis Suarez, ambaye ameshaziona nyavu mara 21 na staa wa  Real Madrid,  Cristiano Ronaldo, ambaye naye ameshacheka na nyavu mara 19.

Msimu huu Messi anaonekana kuwa katika ubora wa hali ya juu, tofauti na msimu uliopita ambapo aliweza kufunga mabao 26 yaliyoiwezesha Barcelona kutwaa mataji mawili ya ndani.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -