Sunday, November 29, 2020

Jahazi Modern imekufa kwa kukosa mlezi

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA BEATRICE KAIZA

MWIMBAJI mashuhuri wa muziki wa taarabu, Khadija Yusuf, amesema kundi la Jahazi Modern limekufa kutokana na kukosa malezi ya baba yao, Mzee Yusuf.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Khadija alisema kila mtoto anahitaji malezi ya baba na kundi la Jahazi Modern limekosa wa kuliongoza.

‘’Jahazi Modern kwa sasa halipo tena kutokana na kukosa malezi ya mzee Yusuf, ila hakulivunja, tumeshindwa sisi mwenyewe  kujiongoza hadi kufikia kila mmoja kutafuta kwa kwenda, kama alivyosema kipindi anakwenda kuhiji Makkah kuwa hasiwezi kulivunja kundi hilo ila Mungu ndiye anaweza kulivunja,’’ alisema Khadija Yusuf.

Alisema anamuombea mema kaka yake kwa kufanya kazi za Mungu ili kutimiza nguzo kuu za dini ya Kiislamu, pia Khadija baada ya kusambaratika kundi hilo ameamua kwenda kwa Wakali Wao ya Thabit Abdul.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -