Tuesday, October 20, 2020

Kichuya aja kivingine Simba

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA ESTHER GEORGE,

WINGA wa Simba, Ramadhani Shiza ‘Kichuya’, amesema mikakati yake kwa sasa ni kuhakikisha anaongeza nguvu ili aweze kuendelea kufunga mabao katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Kichuya alichaguliwa kuwa mchezaji bora kwa Septemba mwaka huu, baada ya kuisaidia Simba kupata pointi  12 katika mechi nne alizocheza na kuifanya timu yake hiyo kuendelea kuongoza ligi hiyo.

Akizungumza na BINGWA jana, Kichuya alisema maandalizi yanaendelea vizuri na mipango yake ni kuleta ushindani mkali katika mzunguko wa pili ili timu yake izidi kujikita kileleni.

“Nimejipanga na ninaendelea na mazoezi kuhakikisha nakuwa fiti ili niweze kupambana vyema duru ya pili,” alisema Kichuya.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -