Wednesday, October 21, 2020

Kichuya: Ngoma, Chirwa wasubiri sana tu

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA ZAINAB IDDY,

WINGA  wa Simba, Shiza Ramadhani  ‘Kichuya’, amesema washambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma na  Obrey Chirwa watasubiri kufikia  idadi ya mabao aliyofunga Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Tayari Kichuya amefunga mabao saba kabla ya mechi ya jana dhidi ya Toto Africans, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, huku Ngoma na Chirwa wakifunga manne kila mmoja.

Akizungumza na BINGWA jana, Kichuya alisema ingawa Ngoma na Chirwa  wanaonekana kuwa na uchu wa kumfikia idadi ya mabao aliyofunga,  lakini kwa sasa wamechelewa, kwani mipango yake ni kutaka kuwaacha mbali zaidi.

Kichuya alisema mipango yake ni kufikisha mabao zaidi ya 25 ili aweze kuisaidia timu yake kuchukua ubingwa wa msimu huu.

“Wanaweza kunifikia, lakini si rahisi, kwani mipango yangu ni mingi kuliko wanavyoniangalia,” alisema Kichuya.

Kichuya amejiunga na Simba katika msimu huu wa Ligi Kuu akitokea Mtibwa Sugar.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -