Friday, December 4, 2020

KICHUYA: YANGA MTANISOMA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY,

BAADA ya kushindwa kufunga bao kwa muda mrefu Ligi Kuu Tanzania Bara, winga wa Simba, Shiza Kichuya, amesema watani wao wa jadi, Yanga watamsoma kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Kichuya alisema atahakikisha anapeleka kilio Mtaa wa Twiga na Jangwani, baada ya kufunga bao katika mchezo wao utakaochezwa hapo kesho.

Kichuya aliyefunga mabao tisa katika mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo, amekuwa na wakati mgumu tangu uanze mzunguko wa pili kwani hajafunga bao lingine.

Alisema kutofunga kwa muda mrefu si kama ameshuka kiwango kiasi cha mashabiki kuanza kumbeza, lakini atawadhihirishia uwezo wake kesho dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga.

“Sijashuka kiwango wala kufungwa miguu kama inavyodaiwa, bali ni mabadiliko tu ya kiuchezaji lakini ninawahakikishia ninakuwa Kichuya yule wa zamani katika mchezo wetu wa ligi unaofuata,” alisema Kichuya.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -