Friday, November 27, 2020

KIGOGO SIMBA AWATOLEA UVIVU YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA,

MAKAMU wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, amewaambia Yanga kama wanasubiri Wekundu hao wapoteze michezo yao wanapoteza muda wao bure kwani hilo ni ngumu kutokea katika kipindi hiki.

Kaburu ameyasema hayo baada ya kikosi chao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ndanda FC na kuwaengua Wanajangwani hao kileleni waliokuwa wakikalia usukani huo kwa muda.

Akizungumza na BINGWA, Kaburu alisema mashabiki wengi wa Yanga walitarajia Simba itapoteza mchezo wao dhidi ya Ndanda ili waendelee kukaa kileleni, lakini dua zao  hazikuzaa matunda.

“Unajua kwa sababu wao hawakuondoka na pointi zote tatu dhidi ya Ndanda walidhani hata sisi itakuwa hivyo hivyo ili waendelee kukaa kileleni kitu ambacho hakikuwezekana, dua yao haijajibiwa,” alisema.

Yanga walikaa kwa muda kileleni baada ya kuwafunga JKT Ruvu lakini wakajikuta wakirudishwa nafasi ya pili baada ya Simba kuifunga Ndanda FC ambao walipocheza na Yanga uwanja huo wa Nangwanda Sijaona, timu hizo zilitoka suluhu ya 0-0.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -