Wednesday, October 28, 2020

KIGOGO WA SOKA BRAZIL ATUPWA JELA MIAKA MINNE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

RIO, Brazil


RAIS wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini Brazil (CBF), Jose Maria Marin, amehukumiwa kwenda jela miaka minne baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kufuja mali na kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Kutokana na hukumu hiyo, Marin, mwenye umri wa miaka 86, anakuwa mtu wa kwanza kuhukumiwa baada ya kukamilika uchunguzi wa makachero kutoka Marekani waliokuwa wakisaka ufisadi katika Shirikisho la Soka la Kimataifa, FIFA.

Katika uchunguzi huo, kigogo huyo alikutwa na kashfa ya kuchukua rushwa katika vyombo vya habari na haki za masoko katika mashindano mbalimbali, yakiwamo ya Copa America.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -