Wednesday, November 25, 2020

KIIZA AZIDI KUNOGA UGANDA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAITUNI KIBWANA,

STRAIKA wa zamani wa Simba, Hamis Kiiza, bado yupo kwenye kiwango cha juu baada ya juzi kufanikiwa kuifungia timu yake ya URA mabao mawili kwenye mechi dhidi ya BUL iliyomalizika kwa ushindi wa mabao 2-1.

Mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Kakindu uliopo Jinja nchini Uganda, Bul ndio walianza kuongoza kwenye dakika ya 26 kupitia kwa Hakim Magombe, lakini dakika nne baadaye Kiiza alisawazisha bao hilo.

Dakika ya 35, Kiiza aliwanyanyua tena mashabiki wa URA baada ya kuongeza bao lingine lililofanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Uganda huku ikiwa imekusanya pointi 39.

Toka amerudi nchini Uganda, Kiiza amekuwa akifumania nyavu za timu pinzani mara kwa mara jambo linalowafanya kuwatia njaa wale wote wanaomtolea macho kupata huduma yake hasa timu za Tanzania.

Kiiza aliwahi kucheza Simba, Yanga na baadaye kutimkia Free Stat ya Afrika Kusini ambayo iliachana naye mwaka huu mwanzoni jambo lililomfanya arejee nchini Uganda na kujiunga na timu yake ya zamani ya URA.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -