Sunday, November 1, 2020

Kilimanjaro Queens kamili kutwaa ndoo leo

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Soka ya Wanawake Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, leo inatarajiwa kuvaana na Kenya katika mchezo wa fainali wa Kombe la Chalenji kwenye Uwanja wa Ufundi uliopo Njeru, mjini Jinja, Uganda.

Timu hiyo ya Bara ilitinga fainali baada ya kuwatoa wenyeji Uganda katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa mwishoni mwa wiki, ikishinda 4-1.

Mabao ya Kili yalifungwa na Donosia Daniel, Mwanahamisi Omari, Stumai Abdallah na Asha Rashidi, dakika ya 16, 17, 31 na 42.

Kwa upande wake, Kenya iliitoa Ethiopia katika mchezo mwingine wa nusu fainali.

Kuelekea mchezo wa leo, Kilimanjaro Stars inapewa nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa wa michuano hiyo kutokana na kandanda walilolionyesha hatua zilizopita.

Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wanaotarajiwa kuibeba timu hiyo ni Donosia Daniel, Mwanahamisi Omari, Stumai Abdallah na Asha Rashidi.

Kabla ya mchezo huo wa fainali, kutakuwa na mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu kati ya Ethiopia na Uganda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -