Sunday, November 29, 2020

Kilimanjaro Queens kutua Dar leo

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARTIN MAZUGWA

KIKOSI cha timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens, kinaingia Dar es Salaam leo kikitokea mkoani Kagera kilikopitia kuwajulia hali waathirika wa tetemeko la ardhi.

Kilimanjaro Queens walinyakua Kombe la Chalenji kwa wanawake na kuweka rekodi ya kubeba taji hilo kwa mara ya kwanza tangu kombe hilo lilipochezwa mwaka 1986 visiwani Zanzibar, ambapo wenyeji walitwaa taji hilo.

Akizungumza na BINGWA jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Alfred Lucas, alisema kikosi hicho kitapitia mkoani Kagera kutoa pole kwa waathirika wa tetemeko la ardhi kisha watapata mapumziko na wataingia Dar es Salaam mchana wa leo.

“Watanzania mnapaswa kujitokeza kwa wingi kuja kuwapokea Kilimanjaro Queens ambao wameweka rekodi ya kunyakua taji hilo kwa mara ya kwanza,” alisema.

Alisema kikosi hicho kinapaswa kupongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kuliwakilisha vyema taifa katika mashindano hayo ambayo yameleta sifa kwa taifa.

Lucas alisema huu ni muda mwafaka kwa Watanzania kuwapa sapoti Kilimanjaro Queens ambao wameonyesha uwezo wa hali ya juu katika mashindano hayo yaliyomalizika nchini Uganda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -