Sunday, January 17, 2021

KIPA AZAM FC, AICHIMBA MKWARA SIMBA

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NA WINFRIDA MTOI

KIPA wa Azam FC, Benedict Haule, ameichimba mkwara Simba na kusema kama mwalimu atampanga yeye katika mchezo huo, atawafanyia zaidi ya kile alichokifanya katika mechi ya fainali ya  Kombe la Shirikisho (FA).

Haule alikutana kwa mara ya kwanza na Simba katika fainali hiyo ya FA, alipokuwa akiichezea Mbao FC, mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na hivyo kuwaambia Simba wajiandae kulia.

Akizungumza na BINGWA jana, Haule alisema  kocha wao ndiye mwenye uamuzi wa kipa gani ampange siku hiyo na anatamani asimame yeye langoni, ili  kuwaonyesha Simba kuwa hakubahatisha pale Dodoma.

“Sina ninachohofia kama kocha atanichagua mimi kudaka katika mechi hiyo sawa, nipo tayari na siwezi nikaogopa kwa sababu  wanaounda kikosi cha Simba ni wachezaji kama sisi ukizingatia mechi yangu ya kwanza kubwa nilikutana na timu hiyo,” alisema.

Alifafanua kuwa mchezaji siku zote hatakiwi kuogopa mchezo, hasa  anapokutana na timu  inayodhaniwa kuwa kubwa, hivyo jambo la msingi ni kuzingatia maelekezo ya  mwalimu na kupambana kushinda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -