Sunday, November 29, 2020

KIPA MLA PIZZA ASINGIZIA MASHABIKI WA ARSENAL

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

MLINDA mlango wa zamani wa Sutton United, Wayne Shaw, amedai amekula pizza akiwa benchi la timu yake kwasababu alichokozwa na mashabiki wa Arsenal.

Shaw, ambaye jina lake la utani ni ‘roly-poly goalie’ kutokana na uzito wake, alilazimika kujiuzulu juzi Jumanne, baada ya Chama cha Soka cha England (FA) na Tume ya Kamari kudhamiria kumchunguza.

Kabla ya mechi, kampuni ya Sun Bets ilitangaza kuwa kuna mchezaji wa Sutton atakula pizza akiwa benchi, hivyo kuhisiwa kwamba mlinda mlango huyo alifanya kusudi ikiwa ni kinyume cha kanuni za FA.

“Mashabiki wa Arsenal walikuwa wakiniimba mimi muda wote, tena kwa kelele: ‘nani amekula pizza zote?” alisema Shaw, akiuambia mtandao wa The Sun.

“Walikuwa wakitania sana, nikadhania kwamba na mimi naweza kufanya utani. Nikang’ata bonge ya kipande cha pizza kisha nikapunga juu.”

Shaw alisisitiza kwamba wachezaji wa Sutton United hawakupata fedha zozote kwa ajili ya tukio hilo na kusema ilikuwa ni mihemko ya mechi.

Previous articleNASRI AMTETEA WENGER
Next articleMOURINHO AWAKOSOA FA
- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -