Wednesday, September 30, 2020

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

Must Read

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake ...

NA ZAINAB IDDY

KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na kumsahau Razack Abarola aliyeondoka katika kikosi hicho.

Kissu amejiunga na klabu ya Azam hivi karibuni  kwa mkataba wa miaka miwili akitokea timu ya Gor Mahia ya Kenya.

Akizungumza na BINGWA jana, alisema anajiamini anaweza kukabiliana na changamoto za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao, utakaoanza Septemba 6, mwaka huu.

“Najiamini na kipaji changu, nimekuja Azam FC kufanya kazi na nina ahidi nitapambana kadri niwezavyo ili kuwapa kilichobora.

“Kama tutafanya kazi kwa ushirikiano nina hakika uongozi, mashabiki wa Azam FC hawatamkumbuka kipa aliyeondoka (Abarola)kutokana na kile nitakachokuwa nakifanya,” Kisu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -