Wednesday, October 21, 2020

Kitendo cha Sakho chamtatiza Klopp

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

MERSEYSIDE, Liverpool

MAPEMA wikiendi hii, beki wa Liverpool, Mamadou Sakho, alituma picha kwenye mtandao wa kijamii wa Snapchat zikiwa na maneno yanayoelezea namna anavyoshindwa kuelewa kwanini hatumiwi kwenye kikosi cha kocha, Jurgen Klopp, msimu huu, lakini kitendo hicho kimemtatiza kocha wake huyo.

Beki huyo hajacheza tangu alipopata majeraha  April mwaka huu, na hatima yake kwenye kikosi cha Liverpool imeonekana kuwa mashakani zaidi baada ya Klopp kutofurahishwa na kitendo chake cha kuweka picha hizo.

Sakho hafurahishwi na kutopewa nafasi ya kucheza na Klopp kwenye kikosi cha kwanza na moja ya ujumbe huo ulisema kuwa, baada ya muda mfupi atausema ukweli unaofichwa kuhusu yeye. Hivi karibuni alikataa kutolewa kwa mkopo akisema anahitaji kuichezea Liverpool.

“Kwa sasa, huu si mda mzuri wa kuliongelea suala hili, ila haikuwa sahihi naweza kusema hivyo. Nitalizungumzia wakati sahihi utakapofika, sijajua bado mda sahihi utakua lini, lakini haitakuwa krismasi,” alisema kocha huyo.

Sakho alikuwa miongoni mwa ‘watazamaji’ walioshuhudia Liverpool ikiichakaza Hull City kwa mabao 5-1 kwenye mchezo wa Ligi kuu England uliopigwa kwenye dimba la Anfiled.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -