Friday, October 30, 2020

Kiungo Kagera aziita Simba, Yanga

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ESTHER GEORGE

KIUNGO wa kutumainiwa wa Kagera Sugar, Ally Nasorro ‘Ufudu’, amezialika klabu za Simba na Yanga akisema yuko tayari kuzichezea pale mkataba wake utakapofikia tamati Mei mwakani.

Kwa mujibu wa kanuni za usajili za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), mchezaji aliyebakisha miezi sita ya mkataba wake  kama Ufudu  anaruhusiwa kuzungumza na klabu nyingine.

Akizungumza na BINGWA jana, Ufudu alisema Simba na Yanga ni klabu kubwa hapa nchini, hivyo kama mchezaji angependa kuzichezea kabla ya kutundika daluga.

“Mkataba wangu unaisha Mei mwakani, lakini  nipo tayari kuondoka hapa na kwenda timu nyingine zikiwemo Simba na Yanga kama zitanihitaji.

“Kwa sasa nabanwa na mkataba wangu lakini pale utakapomalizika nitakuwa huru kwenda timu nyingine yoyote,” alisema Ufudu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -