Tuesday, November 24, 2020

KLABU YA GOFU LUGALO KUBORESHWA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI

KLABU ya gofu Lugalo ipo kwenye mpango wa kuiboresha zaidi kwa  kujenga viwanja vya michezo mingine ili  kuibua na kuendeleza vipaji vya  michezo.

Akizungumza wakati wa kufunga mashindano ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo, Mwenyekiti  wa Klabu hiyo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Luwongo, alisema baada ya kufanikiwa kwenye gofu, wanataka kupanua wigo wa kuendeleza michezo kwa kuanzisha michezo mingine.

Brigedia Luwongo alisema tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo, idadi ya wanachama imekuwa ikiongezeka kila kukicha na sasa wamefikia zaidi ya 300 huku wakianzisha programu maalumu kwa watoto kujifunza gofu.

Alisem mwitikio wa watoto umekuwa ni mkubwa na wamefikia 57, hivyo wanataka pia kuanzisha kituo kwa ajili ya vijana hao ili waweze kulelewa katika misingi bora ya mchezo huo.

“Mafanikio tuliyoyapata katika gofu ni makubwa ndani ya miaka 10, tumeweza kuwa na duka la vifaa hapa klabuni na kuweza kuendeleza vipaji vya watoto  ambao idadi yao imekuwa kubwa kuliko klabu nyingine,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -