Tuesday, October 20, 2020

KLABU ZA ILALA, KINONDONI ZAHAMIA UBUNGO

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA FRANCISCA GODSON


KLABU sita za soka za Kinondoni na Ilala zimeomba kushiriki Ligi Daraja la Tatu Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Ofisa Tawala wa Soka Wilaya ya Ubungo (UFA), Hassan Ummi, alisema klabu hizo zimeomba uanachama katika chama hicho.

Ummi alisema klabu hizo zimevutiwa na uendeshaji wa soka wa Chama cha Ufa chini ya Mwenyekiti wake, Benjamin Mwakasonda.

Alisema kila klabu inatakiwa kutoa Sh 82,000 ikiwa Sh12,000 ni ada ya uanachama na Sh 70,000 fomu ya usajili wa wachezaji wapya.

Alitaja baadhi ya klabu kuwa ni Machimbo Maramba (Ilala), Nanga (Kinondoni), Azam Ngano (Ilala), Goba Lami (Ilala) na Fort Eagles ambazo zilishiriki Ligi ya Mkoa msimu uliopita.

Katika hatua nyingine, Ummi alisema klabu zitakazoshiriki ligi hiyo zinatakiwa kuwa na makocha wenye taaluma ya ukocha.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -