Wednesday, September 30, 2020

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

Must Read

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake ...

NA ASHA KIGUNDULA

UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza kupokea maombi kutoka kwa baadhi ya klabu zinazohitaji kutumia Uwanja wa Nelson Mandela, uliopo mjini Sumbawanga, kwa Ligi Kuu Tanzania Bara na madaraja mengine.

Akizungumza na BINGWA jana, Mwenyekiti wa RUREFA Blass Kiondo, alisema baada ya mchezo wa fainali wa michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), kati ya  Simba na Namungo, uliochezwa Agosti 2, mwaka huu, timu za mikoa ya jirani zimeanza kutuma maombi ya kutumia uwanja huo.

Kiondo alisema timu zinashiriki Ligi Daraja la Pili, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi Kuu nazo zimejitokeza kuomba. 

“Tumefurahi kuona kuna timu zinaomba kuja kuchezea michezo yao hapa kwetu ni kitu kikubwa sana, timu zimehamasika kuomba kutumia uwanja wetu,” alisema Kiondo.

Wakati huo huo, Kiondo amesema wanatarajia kununua timu ya daraja la pili, ikiwa ni lengo la miaka miwili la kupandisha timu ligi Kuu Tanzania Bara.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

KISA KONA YA CARLINHOS… ...

NA ZAINAB IDDY BAO la Yanga lililofungwa na Lamine Moro juzi katika mchezo dhidi...

HUYU MUGALU ATAWALAZA WATU NA VIATU TU!

NA ONESMO KAPINGA HAKIKA sijapata utamu wa mshambuliaji mpya wa Simba, raia wa DR Congo, Chris Mugalu,kutokana na jinsi...

Wachezaji Gwambina wapewa muda

NA ZAINAB IDDY KOCHA wa timu wa  Gwambina, Fulgence Novatus, amesema amewapa muda wachezaji wake  ili aweze kutathimini kiwango cha...

Kisu amfunika vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY KIPA  wa timu ya Azam, David Kisu, amemfunika Aishi Manula  wa Simba kutokana na kutoruhusu...

Zahera awapa Simba taji mapema

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Gwambina kufungwa mabao 3-0 na Simba  katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -