Sunday, October 25, 2020

Kocha ataka mbegu za Ronaldo, Zlatan

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

OSLO, Norway

KOCHA Ole Vidar Toftesund, anasaka mbegu za kiume za wanasoka, Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic.

Video iliyotumwa kwenye akaunti ya Facebook ya mtandao wa Goal, kocha huyo wa Nordstranda ya Norway, Toftesund ameomba mbegu hizo za kiume za Ronaldo na Ibrahimovic kuwapa mademu wa wachezaji wake wapate ujauzito.

Toftesund anaamini kwamba anaweza kuwa na kizazi cha soka katika miaka 20 ijayo na kuifanya klabu hiyo ndogo ya Nordstranda kuwa bora duniani.

Kazi ngumu itakuwa kwa mademu wa wachezaji hao kama watakubali pamoja na wachezaji hao, Ronaldo wa Real Madrid na Ibrahimovic wa Manchester United kama watakuwa tayari kutoa mbegu zao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -