Tuesday, October 20, 2020

Kocha Brazil ammwagia sifa Neymar

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

RIO DE JANEIRO, Brazil

KOCHA wa timu ya Taifa ya Brazil, Adenor Bacchi ‘Tite’ amemsifu straika wake, Neymar, kwa kiwango alichokionesha kwenye mchezo kati ya Bolivia na kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 , lakini akamuonya staa huyo kujifunza kutoka kwenye kadi ya njano aliyopata ambayo itamuacha nje kwenye mechi dhidi ya Venezuela.

Staa huyo wa Barcelona aliifungia timu yake bao moja, huku akitoa pasi mbili za mabao, hivyo kusababisha Brazil kuwaweka Bolivia kwenye wakati mgumu.

Hata hivyo, Tite alisema jana kuwa pamoja na matokeo hayo, anaamini kwamba kuna cha kujifunza kutokana na kadi hiyo.
“Kulikuwa na makosa kutoka kwa mwamuzi, kwani hakuona faulu nyingi ambazo zilisababisha kukosekana kwa adhabu,” alisema kocha huyo.

“Na mimi na Neymar tunahitaji kukua ili kuelewa namna ya kukabiliana na hali kama hiyo.

“Unaweza kusema sawa ‘faulu kutoka kwenye mchezo na ni tatizo la mwamuzi. Lakini ni jukumu langu kuwaongoza wachezaji wangu,” aliongeza kocha huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -