Thursday, October 22, 2020

KOCHA CONGO APEWA UHAKIKA WA KIBARUA

Must Read

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

LIBREVILLE, GABON

RAIS wa Shirikisho la Soka wa DR Congo (Fecofa), Constant Omari,  amesema licha ya timu yao hiyo ya taifa kutolewa katika hatua ya robo fanali ya Afcon 2017, bado wameridhishwa na uwezo wa kocha wao, Florent Ibenge na wataendelea kufanya naye kazi.

DR Congo walipoteza mchezo wao wa robo fainali baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Ghana.

Omari aliwaambia waandishi wa habari kuwa wataendelea na kocha wao huyo kwani amekiongoza vema kikosi hicho.

“Tutaendelea kufanya kazi na kocha Florent Ibenge. Amekiongoza kikosi kuishangaza Afrika, wachezaji wakiwa kwenye fomu ya juu kabisa katika mashindano hayo. Tulikutana na timu kubwa ya Ghana yenye uzoefu hasa katika hii michuano mikubwa.

“Hakuna wa kulaumiwa katika matokeo yaliyotokea, ingawa mashabiki wameumia katika hilo, ni wakati sasa wa kuganga yajayo, timu itakapowasili ni kuweka sawa mipango ya maandalizi ya 2019,” alisema Omari.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

UKITELEZA KWISHNEI

NA ASHA KIGUNDULAMIAMBA ya soka nchini, Simba na Yanga, leo wana vibarua vigumu vya kusaka pointi zote...

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na Staa Wako, safu inayokupa nafasi...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -