Thursday, October 29, 2020

KOCHA GHANA ALIA NA WAPENDA NGONO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

ACCRA, Ghana

MCHEZAJI wa zamani wa Ghana na kocha mkuu wa timu hiyo ya taifa, Malik Jabir, amesema wachezaji wa sasa ndani ya timu hiyo wanakosa nguvu ya kucheza uwanjani kutokana na tabia zao za kupenda ngono kupitiliza.

Taifa la Ghana linajulikana kwa kuzalisha wachezaji wenye vipaji vikubwa vya soka, hata hivyo Jabir anaamini bado wachezaji wa timu ya taifa hawajatambua namna ya kutumia vipaji vyao hali inayowapa shida ndani ya mechi wanazocheza kutokana na kukosa nguvu.

“Wanafanya sana ngono kitu kinachoathiri nguvu yao ya uchezaji katika timu ya taifa,” alisema.

“Hapa Ghana kuna wanawake wazuri mno, wachezaji hawataki kuwaacha peke yao.

“Hata hivyo, tunatakiwa kutambua tofauti ya ngono na soka.

“Kuna muda wa kufanya yote hayo, haitawezekana kufanya mambo yako vizuri kama utachanganya hivyo vitu kwa pamoja,” alisema kocha huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -