Sunday, October 25, 2020

KOCHA LYON ATAMBA KUISHANGAZA YANGA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MARY PETER, TSJ

KOCHA wa African Lyon, Charles Otieno, amesema amekipika vizuri kikosi chake kuhakikisha kinaibuka na ushindi kitakapoumana na Yanga Jumamosi katika pambano la Ligi Kuu Bara.

Otieno ameliambia BINGWA kuwa anaifahamu Yanga kama miongoni mwa timu imara katika Ligi Kuu, lakini kutokana na maandalizi ya uhakika aliyoyafanya anaamini atavuna pointi tatu kwenye mchezo wao huo.

“Tutahakikisha tunawafunga Yanga nakujiongezea pointi zitakazotufanya tupande juu, nina kikosi imara chenye uwezo wa kuifunga timu yoyote,” alisema Otieno.

Kuelekea mechi hiyo, Otieno alisema kikosi chake kitarejea mazoezini leo kwenye Viwanja vya Leaders kujiandaa na mchezo huo.

Lyon ililazimishwa suluhu na Azam FC katika mchezo wake uliopita uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -