Friday, November 27, 2020

KOCHA MADINI AMTISHA OMOG

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA mkuu wa Madini, Abdallah Juma, amemtisha Joseph Omog wa Simba baada ya kusema atahakikisha anaiondoa timu yake katika mchezo wa robo fainali wa Kombe la Shirikisho (FA), itakayochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, mjini Arusha.

Akizungumza na BINGWA jana, Juma alisema hawatakubali kuaga kirahisi kwenye michuano hiyo kwa kufungwa na Simba.

Madini inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Juma alisema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi.

“Tutahakikisha tunacheza soka ya ushindani, hivyo Simba wajue  wanakuja kukutana na changamoto na hawatapata ushindi kirahisi kwani nasi tunataka kuona tunasonga mbele,” alisema Juma.

Madini walitinga robo fainali baada ya kuwatoa JKT Ruvu kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya bao 1-1.

Simba walitinga robo fainali baada ya kuifunga bao 1-0 African Lyon.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -