Wednesday, October 28, 2020

KOCHA MAJIMAJI AKUBALI KIPIGO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ASHA MUHAJI, SONGEA

KOCHA Mkuu wa Majimaji, Kali Ongalla, amesema amekubali kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kwa Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa  juzi kwenye Uwanja wa Majimaji, mjini Songea.

Akizungumza na BINGWA juzi, Ongalla alisema walifungwa na Simba kutokana na makosa madogo madogo yaliyofanywa na wachezaji wake licha ya kucheza vizuri katika mchezo huo.

Ongalla alisema wachezaji wake walipoteza umakini wa kukaba na kutoa mwanya kwa wapinzani wao kupata ushindi huo, lakini atafanyia kazi upungufu uliojitokeza ili waweze kushinda.

Alisema malengo yake kwa sasa ni kuhakikisha wanashinda michezo iliyosalia ili waweze kujiweka katika mazingira bora ya kubaki kwenye ligi hiyo.

Ongalla alisema baada ya mchezo huo, hatakubali kufungwa kirahisi kwa michezo iliyosalia ili kuinusuru timu hiyo kushuka daraja inayoshika nafasi ya 14 kutokana na pointi 20.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -