Wednesday, October 28, 2020

KOCHA MPYA ENGLAND KUENDELEA NA ROONEY

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

Mshambuliaji Wayne Rooney ataendelea kuwa nahodha wa England, amesema kocha mpya, Gareth Southgate, baada ya kukabidhiwa rasmi kikosi hicho.

Kulikuwa na tetesi kwamba Southgate anaweza akamvua Rooney kitambaa cha unahodha baada ya tukio la mwezi uliopita la kukutwa amelewa usiku mkubwa.

Hivyo, Southgate amethibitisha kwenye mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari jana kwamba ataendelea na kocha huyo.

“Wayne Rooney ndio nahodha wa England,” alisema Southgate na kuongeza: “Nilisema hivyo tangu mwanzo nikiwa kama kocha wa muda.

“Nimemchezesha mara mbili pekee katika mechi nne kwa kuwa si lazima Wayne acheze kila mechi ili tutengeneze viongozi wengine.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -