Tuesday, October 20, 2020

KOCHA PRISONS AFICHUA SIRI MABAO YA KIMENYA

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA WINFRIDA MTOI


 

KOCHA mkuu wa timu ya Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, amefichua siri ya beki wa kikosi hicho, Salum Kimenya, kutupia mabao mfululizo kuwa ni baada ya kumbadilisha nafasi ya kucheza.

Kimenya anayecheza kama beki wa kulia, ni mmoja wa wachezaji waliopo katika orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara akiwa tayari amefunga mabao matatu.

Akizungumza na BINGWA jana, Mohammed, alisema kwa sasa anamchezesha Kimenya kama winga badala ya beki wa kulia aliyozoea kucheza siku zote.

Aidha, alisema alimbadilisha nafasi hiyo baada ya kubaini kuwa mchezaji huyo ana kipaji kikubwa na anaweza kucheza kwa ufanisi sehemu yoyote anayopangwa.

“Kimenya ni mchezaji ambaye anaweza kucheza namba yoyote, msimu huu nimeamua nimchezeshe kama winga ndiyo maana ameanza kufunga katika mechi mbili zilizopita hadi kufikisha mabao matatu,” alisema kocha huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -