Saturday, November 28, 2020

KOCHA SIMBA ATAMBA KUITINGISHA GHANA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA EZEKIEL TENDWA

WAKATI Ligi Kuu nchini Ghana ikitarajiwa kuanza kutimua vumbi  kesho, kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema atahakikisha anakipa ubingwa kikosi chake kipya cha Asante Kotoko.

Loga ambaye ameingia mkataba wa miaka miwili na kikosi hicho baada ya kugoma kuingia mkataba mpya na timu ya Inter Club ya nchini Angola aliyokuwa akiifundisha, amesema atahakikisha Kotoko inatisha nchini Ghana.

Akizungumza na BINGWA kwa njia ya mtandao, Loga alisema kwa sasa anakisuka vilivyo kikosi chake hicho na kwamba anayo matarajio makubwa wachezaji wake watafanya kile anachowafundisha.

“Matarajio yangu ni makubwa ndani ya timu yangu hii mpya, ninachoweza kusema ni kwamba, nataka kuona tukibeba ubingwa hapa Ghana na hilo linawezekana kabisa kutokana na maandalizi tunayoyafanya,” alisema.

Alisema ataonyesha uwezo wake wa kufundisha katika kikosi hicho na ana uhakika msimu ujao kikosi hicho kitashiriki michuano mikubwa barani Afrika.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -