Friday, November 27, 2020

KOCHA UJERUMANI ADAI OZIL ANACHEZA MWENYEWE UWANJANI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MUNICH, Ujerumani

KOCHA wa timu ya Taifa ya Ujerumani, Oliver Bierhoff, ameibuka na madai kuwa Arsenal walimchosha staa Mesut Ozil wakati walipofungwa mabao 5-1 na Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ozil alishambuliwa na wachambuzi na mashabiki wa Arsenal, akishutumiwa kucheza chini ya kiwango lakini Bierhoff anaamini kuwa timu hiyo imekuwa ikimtegea uwanjani.

Bierhoff anaamini kuwa Ozil amekuwa akikosa sapoti kutoka kwa wachezaji wenzake na ndiyo maana ameonekana kushuka kiwango.

“Nikimtazama Ozil ambaye alikuwa akishutumiwa baada ya mabao 5-1 dhidi ya Bayern, katika mchezo huo hakukuwa na sapoti kwa Mesut ambaye amekuwa kwenye ubora wake siku zote,” Bierhoff alikiambia kituo cha televisheni cha Sport Bild.

Bierhoff alifananisha majanga yanayomkuta Ozil na yale yaliyowahi kumkumba Julian Draxler ambaye amekuwa moto wa kuotea mbali, baada ya kuikacha Wolfsburg na kujiunga na PSG yenye mastaa wengi.

“Draxler ana wachezaji wengi wazuri wanaomzunguka. Hiyo inamsaidia,” alisema Bierhooff.

Ozil mwenye umri wa miaka 28, alijiunga na Arsenal akitokea Real Madrid ambapo ada ya uhamisho wake ya pauni milioni 42.4 ilivunja rekodi ya usajili klabuni hapo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -